Total Pageviews

Thursday, 24 December 2015

Andika chochote kuhusu tatizo la simu yako na utajibiwa kiutaramu na wataramu wetu wanaojua kila kitu kuhusu simu za mkononi na tables.

Monday, 7 December 2015

SIMU YANGU YAJIWASHA NA KUJIZIMA YENYEWE.

Nikiwa naiwasha simu yangu inachukuwa muda mwingi kuwaka alafu yabidi niisubili kwa muda ndipo nione applications zangu ila kabla haijaonyesha applications zangu simu hujizima na kujiwasha tena yenyewe. Huwa yajiludia hadi battery yangu inaisha, nimejaribu njia zote za mawazo ya kawaida ila imeshindikana, Je nifanyeje? Help me guys.