Total Pageviews

Monday 7 December 2015

SIMU YANGU YAJIWASHA NA KUJIZIMA YENYEWE.

Nikiwa naiwasha simu yangu inachukuwa muda mwingi kuwaka alafu yabidi niisubili kwa muda ndipo nione applications zangu ila kabla haijaonyesha applications zangu simu hujizima na kujiwasha tena yenyewe. Huwa yajiludia hadi battery yangu inaisha, nimejaribu njia zote za mawazo ya kawaida ila imeshindikana, Je nifanyeje? Help me guys.